Majadiliano:Lusajo Chicharito Brown

Latest comment: miaka 8 iliyopita by Muddyb Blast Producer in topic Maoni na habari

Maoni na habari hariri

Makala ina maoni kadhaa nje ya habari. Maoni yanaweza kubaki tu kama kuna vyanzo vya kunukuliwa. Ilhali hakuna nafuta sehemu hii. Tazama hapa: Msimamo wa kutopendelea na pia hapa: Kutofautisha mawazo na habari halisi Kipala (majadiliano) 11:25, 6 Juni 2015 (UTC)Reply

Makala ni ya kufuta. Urongo mtupu. Halafu huwezi kujianidkia makala. Sharia zetu zina kinzana na utaratibu huu.--MwanaharakatiLonga 17:39, 6 Juni 2015 (UTC)Reply
Return to "Lusajo Chicharito Brown" page.