Majadiliano:Maajabu ya dunia

Latest comment: miaka 7 iliyopita by Kipala

Sehemu ya "Maajabu ya dunia ya sasa" haieleweki vema jinsi ilivyo. Napendekeza ndugu fute ajaribu kutafsiri tu sehemu ya "Modern lists" katika makala ya en:Seven Wonders of the Ancient World. Jinsi ilivyo sasa haieleweki ni namna gani kitu kitazamiwe kuwa maajabu, na nani na kadhalika. Kipala (majadiliano) 14:45, 16 Oktoba 2016 (UTC)Reply

Return to "Maajabu ya dunia" page.