Majadiliano:Mae Jemison

Latest comment: miaka 5 iliyopita by Kipala in topic Kusafisha

Kusafisha hariri

Niliondoa sehemu ya sentensi ya pili iliyosema "wakati akiwahudumia wafanyakazi wa anga wa Shuttle Endeavor ". Sielewi alichohudumia? Kwa jumla walikuwa wanaanga 7 na kila moja alikuwa na kazi yake. Kama sehemu hii inahitaji krudishwa tafadhali kwa maelezo yanayosaidia kuielewa.Kipala (majadiliano) 17:22, 29 Aprili 2019 (UTC)Reply

Return to "Mae Jemison" page.