Majadiliano:Magamba Kwalukonge

Latest comment: miaka 4 iliyopita by Kipala in topic Jina sahihi?

Jina sahihi? hariri

Naona sensa ya 2012 ilitaja jina la kata kuwa "Magamba Kwalukonge". Lakini orodha ya misimbo ya posta (postcode list) ya 2018 inataja jina lakata kuwa Magamba pekee, na Magamba Kwalukonge ni mtaa au kijiji ndani yake, pamoja na vijiji vya Changalikwa na Makole. Vitomgoji ndani ya Magamba Kwalukonge kufuatana na data za posta ni Mzee Mhando, Uhuru, Mzee Mnyange, Uziguani na Batoni. Nani ana uhakika? Kipala (majadiliano) 08:48, 25 Juni 2019 (UTC)Reply

Return to "Magamba Kwalukonge" page.