Majadiliano:Makala za msingi - orodha ya meta Feb 2008

Latest comment: miaka 16 iliyopita by Kipala

Ushauri: Labda hii tuipandikize juu ya sehemu ya "Makala za msingi za kamusi elezo" halafu hii tuifute. Kwasabu hakutakuwa na sababu ya kuwepo kwa hizi zote mbili, hii peke yake yatosha kwa lengo la kufananisha na ile ya MetaWiki. Hapo vipi?--"Mwanaharakati" (talk) 05:09, 6 Machi 2008 (UTC)Reply

Nimesita lakini sasa nakubali. Nahamisha orodha hii ifike mbele. --Kipala (majadiliano) 20:20, 24 Novemba 2008 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Makala za msingi - orodha ya meta Feb 2008 ".