Majadiliano:Makanikaumeme
Latest comment: miaka 4 iliyopita by Kipala
Lemma hii kwa uhakika si sahihi. Kamusi Saniu ya Kompyuta (Kiputiputi) ina "makanikaumeme". Maelezo ya picha si sahihi, ni kituo cha kusimamia njia za reli mjini Pukekohe, haiitwi vile . Kipala (majadiliano) 19:37, 27 Mei 2020 (UTC)