Majadiliano:Maryland

Latest comment: miaka 15 iliyopita by Muddyb Blast Producer in topic Mkoa au wilaya

Mkoa au wilaya hariri

Naona kwa matumizi ya Kiswahili cha kawaida Washington DC si wilaya tu zaidi mkoa au hata jimbo chini ya shirikisho. Kwa hiyo nimerejesha badiliko. Mnaonaje? --Kipala (majadiliano) 14:03, 5 Julai 2008 (UTC)Reply

Upo sahihi!!--Mwanaharakati (majadiliano) 14:12, 5 Julai 2008 (UTC)Reply
Return to "Maryland" page.