Majadiliano:Mdudu

Latest comment: miaka 8 iliyopita by ChriKo in topic Kuhusu picha

Kuhusu picha hariri

Mtu wa kawaida huita (m)dudu kila kitu kidogo kinachosogea na kisicho rahisi kubaini. Sidhani kwamba ataita buibui mkubwa mdudu, kwa sababu takriban watu wote wanajua buibui. Kwa hivyo ningependa kutoa picha ya buibui. ChriKo (majadiliano) 09:12, 21 Mei 2015 (UTC)Reply

Return to "Mdudu" page.