Majadiliano:Micah Sanders
Latest comment: miaka 14 iliyopita by Muddyb Blast Producer in topic Micah
Micah
haririHii ni sawa kabisa kumtaja kwa tahajia ya jina la "Micah" na si Mika au nini maana baadaye itakuwa vigumu kumtambua tukibadilisha umbo la jina. 91.98.113.164 19:58, 2 Desemba 2010 (UTC)
- Haswaaaa! Ndiyo maana nimeandika kama ipasavyo! Shida hii hutokea kwa wale wasiofuata mwongozo wa wikipedia:makosa. Nina-heshimu mwongozo ule. Wasalaam,--MwanaharakatiLonga 07:08, 3 Desemba 2010 (UTC)