Majadiliano:Miungu
Latest comment: miaka 3 iliyopita by Kipala in topic Maana?
Maana?
haririNashindwa kuelewa maana ya makala hii. Mungu kwa imani ya watu kwa kawaida si mtu (ingawa kuna imani ambako mtu anaweza kufikia hali ya mungu). Kipala (majadiliano) 07:20, 4 Mei 2015 (UTC)
Nimeongeza kuhusu imani kati ya Wabantu, ingawa hii inahitaji maelezo zaidi. Mimi pia nilijifunza kwamba kati ya Wabantu hakuna imani ya miungu mingi, lakini hali halisi kuna mifano ya ibada za wahusika wenye nguvu; naona mfano wa Bokero katika bonde la Rufiji ilikuwa zaidi ya heshima ya mizimu. Kipala (majadiliano) 09:44, 28 Desemba 2020 (UTC)