Majadiliano:Mlima Kenya
Latest comment: miaka 15 iliyopita by Muddyb Blast Producer
Makala inaonekana imenakiliwa kutoka dirisha la google-translate bila kusoma hata mara moja.
- lugha haieleweki
- kuna makala ya Kenya (mlima) tayari na mchangiaji alifuta mwelekezo bila kujal
- uwingi wa habari katika makala hii umebatilishwa na uwingi wa lugha baya na kutojali umbo la makala.
- bado kazi nyingi isipotakiwa kufutwa
--Kipala (majadiliano) 20:56, 11 Desemba 2009 (UTC)
- Mimi naona bora sijui tusawazishe? Au shindano haliruhusu?-- MwanaharakatiLonga 06:18, 12 Desemba 2009 (UTC)