Majadiliano:Msokoto wa watoto wachanga

Latest comment: miaka 14 iliyopita by Muddyb Blast Producer in topic Lugha!

Lugha!

hariri

Kwa bahati mbaya mfano wa tafsiri ya google-translate isiyofanyiwa kazi kwa hiyo imefikishwa hapa ikiwa mbichi. Kazi nyingi! Kipala (majadiliano) 08:53, 9 Novemba 2010 (UTC)Reply

Niliona hilo. Hata sijui inakuwaje? Watu hawafikirii kabla ya kupakia makala? Haya,ukiwa una wazo, basi wakilisha!--MwanaharakatiLonga 08:56, 9 Novemba 2010 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Msokoto wa watoto wachanga ".