Majadiliano:Msuva

Latest comment: miaka 5 iliyopita by Kipala in topic Umbo, vyanzo

Umbo, vyanzo hariri

Makala hii inamhusu mchezaji anayeweza kustahili makala kama ushuhuda unapatikana. Hakuna vyanzo vilivyotajwa. Umbo la mwandishi haulingani staili yetu. Sehemu za matini (kama kuhusu mdogo wake) hazina maana kwa habari zake. Kama haisahihishwa afadhali kufuta. Linganisha Wikipedia:Mwongozo (Kutaja vyanzo) na Wikipedia:Mwongozo (Muundo) Kipala (majadiliano) 14:38, 25 Agosti 2018 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Msuva ".