Majadiliano:Mustapher Siyani

Latest comment: miaka 13 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Mengine tena. Mustapha, mimi ninaamini makala hii umeandika mwenyewe kuhusu wewe. Sawa, lakini ili uwe katika Wikipedia - unatakiwa angalau uwe umesemwa ima kusimuliwa mara kwa mara katika vyombo vya habari. LABDA niulize swali, je, umaarufu wako hadi kiasi cha kuandika katika Wikipedia ulimfunga nani? Nikiwa na maana ya kwamba umewahi kutoa hukumu kwa mtu gani maarufu? Ikiwa ni raia wa kawaida tu, basi hapa si mahali pake. Una-karibishwa kuchangia makala mbalimbali kuhusu sheria kwa vile hiyo ndiyo kazi, basi tutafurahi zaidi ukichangia makala za namna hiyo. Labda utazame sheria halafu utoe mawili-matatu kuhusiana na makala. Aina za sheri na kadhalika, basi siku zinakwenda. Mpendwa, tunapenda sana makala mpya, lakin wakati mwingine inatubidi tutazame na mikakati na taratibu za Kiwikipedia vilevile zinavyosema. Karibu sana. Wako,--MwanaharakatiLonga 03:53, 16 Julai 2011 (UTC) Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Mustapher Siyani ".