Majadiliano:Muziki wa dansi wa kielektroniki
Latest comment: miaka 5 iliyopita by Muddyb Blast Producer
Muddyb, unasemaje? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:10, 25 Julai 2019 (UTC)
- Riccardo, salaam! Kwanza pole kwa ukimya wangu. Bora ungenitumia kwa majadiliano yangu ningeona mapema. Ngoja niisome sasa. Narudi kujibu swali lako!--'Muddyb Mwanaharakati' 'Longa' 06:46, 30 Julai 2019 (UTC)
- Riccardo, nimemsoma. Kaelezea vizuri. Japo kuna tatizo dogo la maumbo ya kisarufi! Nitarekebisha nikitulia.--'Muddyb Mwanaharakati' 'Longa' 06:54, 30 Julai 2019 (UTC)