Majadiliano:Nembo ya Tanzania

Latest comment: miaka 14 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Tunahitaji kueleza pia maana ya shoka na mkuki na labda vitu vingine. Pia tunahitaji chanzo ili kuhakikisha maana za sehemu za nembo. Chanzo cha serikali ya Tanzania chenye maelezo kwa Kiingereza kipo hapa: http://www.tanzania.go.tz/profile.html Pia kuna kingine kutoka "How Stuff Works" hapa: http://geography.howstuffworks.com/africa/geography-of-tanzania.htm/printable Bado sijapata maelezo kwa Kiswahili. Oneis1too (majadiliano) 01:36, 6 Oktoba 2010 (UTC)Reply

Ikiwa umepata mahala panapoelezea maana ya nembo, kwanini usitafsiri kwa Kiswahili tu? Unaonaje?--MwanaharakatiLonga 05:24, 6 Oktoba 2010 (UTC)Reply
Haya, nimefanya. Niliona aibu kwa sababu miaka 4 iliyopita sikusahihisha makala asilia jinsi ilivyotakiwa, nikatambua baada ya mashihisho ya Oneis. Kipala (majadiliano) 07:05, 6 Oktoba 2010 (UTC)Reply
Shukrani za dhati zikufikie huko uliko!--MwanaharakatiLonga 08:22, 6 Oktoba 2010 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Nembo ya Tanzania ".