Majadiliano:Nyimbo za Kiinjili
Latest comment: miezi 4 iliyopita by Muddyb in topic Pendekezo la jina
Pendekezo la jina
haririNinapendekeza jina liwe Muziki wa injili badala ya Kiinjili. Ukisikiliza hata maredioni na kwinginepo muundo wa neno ni Injili na si Kiinjili. Ni pendekezo pekee. MuddybLonga 07:01, 14 Agosti 2024 (UTC)