Majadiliano:Nyuklia

Latest comment: miaka 6 iliyopita by Kipala in topic Nyuklia - kiini cha atomi

Nyuklia - kiini cha atomi hariri

Matumizi ya "nyuklia" hapa si jinsi tunavyoitumia hadi sasa katika wikipedia. Maana tumetumia hadi sasa "kiini cha atomi" kwa "nucleus" ya atomi. Nyuklia inataja mambo ya utafiti an nishati ya mambo ndani ya atomu kwa jumla. Hii inahitaji ama sahihishio ya makala nyingu au tubadilishe. Kipala (majadiliano) 20:57, 8 Julai 2017 (UTC)Reply

Return to "Nyuklia" page.