Majadiliano:Orodha ya migogoro barani Afrika
Latest comment: miaka 14 iliyopita by Muddyb Blast Producer
Mwandishi: Kuandika makala kama hii yenye kutaka viungo rundo - halafu usije kuandika makala sita au saba kati ya hizo zilizopo kwenye ordha, basi sawasawa na bure. Jitahidi uweze kuandika hata makala za usoni kabisa.--MwanaharakatiLonga 16:30, 23 Desemba 2009 (UTC)