Orodha ya migogoro barani Afrika
Orodha ya migogoro barani Afrika (imepangwa kwa nchi) si kamilifu, ikiwa ni pamoja na:
- Vita kati ya mataifa ya Afrika
- Vita vya wenyewe kwa wenyewe ndani ya mataifa ya Afrika
- Vita vya ukoloni katika Afrika
- Vita vya kupigania uhuru vya mataifa ya Afrika
- Migogoro ya kujitenga katika Afrika
- Matokeo makuu ya vurugu (maandamano, mauaji ya kinyama, nk) katika mataifa ya Afrika
Afrika Kusini hariri
- Vita vya Waingereza na Wazulu
- Vita vya mpakani vya Cape
- Mapigano ya Blood River
- Mapigano ya Blaauwberg
- Vita vya kwanza vya Makaburu
- Vita vya pili vya Makaburu
- Mauaji ya Sharpeville
- Mapinduzi ya Soweto
- Vita vya mpakani vya Afrika Kusini
- Kampeni ya Afrika Kusini-Magharibi (Vita vya Kwanza vya Dunia)
- Mauaji ya Weenen
- Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Wazulu
Algeria hariri
Angola hariri
Benin hariri
Burkina Faso hariri
Burundi hariri
Chad hariri
- Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Chad
- Vita vya kwanza vya wenyewe kwa wenyewe vya Chad (vilipelekea Libya kuingilia)
- Vita vya pili vya wenyewe kwa wenyewe vya Chad (pia vinahusisha Sudan)
Côte d'Ivoire hariri
Eritrea hariri
Eswatini hariri
Ethiopia hariri
- Kampeni ya Afrika Mashariki (Vita vya Pili vya Dunia)
- Vita vya uhuru vya Eritrea
- Vita vya Ethiopia na Adal
- Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Ethiopia
- Vita vya Eritrea na Ethiopia
- Msafara kuelekea Ethiopia wa 1868
- Vita vya kwanza vya Italia na Ethiopia
- Vita vya Ogaden
- Vita vya pili vya Italia na Ethiopia
Gabon hariri
Gambia hariri
Ghana hariri
Guinea-Bissau hariri
Jibuti hariri
Kamerun hariri
Kenya hariri
Komoro hariri
Kongo-Brazzaville (Jamhuri ya Kongo) hariri
Kongo-Kinshasa (Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo) hariri
Lesotho hariri
Liberia hariri
Libya hariri
Madagaska hariri
- Mapigano ya Madagaska (Vita vya Pili vya Dunia)
- Uasi wa Madagascar
Mali hariri
Malawi hariri
Mauritania hariri
Mauritius hariri
Misri hariri
Moroko hariri
Msumbiji hariri
Namibia hariri
- Mauaji ya Halaiki ya Herero
- Vita vya uhuru vya Namibia
- Kampeni ya Afrika ya Kusini-Magharibi (Vita vya Kwanza vya Dunia)
Niger hariri
Nigeria hariri
Rwanda hariri
Sahara Magharibi hariri
São Tomé na Príncipe hariri
Senegal hariri
Sierra Leone hariri
Somalia hariri
Sudan hariri
Tanzania hariri
Togo hariri
Tunisia hariri
Uganda hariri
- Mapinduzi ya Uganda ya 1971
- Operesheni ya Entebbe (1976)
- Vita vya Kagera (1978-1979)
- Kuanguka kwa Kampala (1979)
- Uganda National Rescue Front (1980-1985)
- Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Uganda (1982-1986)
- Uganda People's Democratic Army (1986-1988)
- Harakati ya Roho Mtakatifu (1986-1987)
- Lord's Resistance Army (1987-hadi leo)
- Allied Democratic Forces (1996-?)
- Uganda National Rescue Front ya II (1996-2002)
Zambia hariri
Zimbabwe hariri
- Vita vya kwanza vya Matabele
- Chimurenga - muhtasari wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Rhodesia / Zimbabwe
- Vita vya pili vya Matabele ama Chimurenga ya Kwanza
- Chimurenga ya Pili / Vita vya Vichakani vya Rhodesia
Orodha ya vita vya karne ya 21 hariri
- 2001 - vita vya sasa dhidi ya ugaidi
- 2002 - Ukereketwa wa Kiislamu katika Maghreb
- 2002 - Operesheni ya sasa ya Uhuru wa Kudumu (Pembe ya Afrika)
- 2006 - Kuibuka kwa Muungano wa Mahakama za Kiislamu
- 2006 - 2009 Vita vya Ethiopia na Somalia
- 2007 - Operesheni ya leo ya Uhuru wa kudumu- Trans Sahara
- 2009 - vita vya wenyewe kwa wenyewe vya leo nchini Somalia
- 2009 - ukereketwa wa leo wa Taliban nchini Nigeria
- 2001 - 2003 vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Jamhuri ya Afrika ya Kati
- 2002 - 2003 vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Ivory Coast
- 2003 - Vita vya sasa katika Darfur
- 2004 - mapigano ya Kifaransa na Ivory Coast
- 2004 - mgogoro wa leo katika Niger Delta
- 2004 - Vita vya vichakani vya sasa vya Jamhuri ya Afrika ya Kati
- 2004 - Mzozo wa sasa wa Kivu
- 2005 - Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya sasa nchini Chad
- 2005 - 2008 Ukereketwa wa Mlima Elgon
- 2007 - Uasi wa Pili wa sasa wa Tuareg
- Mzozo wa Kenya wa 2007-2008
- 2008 uvamizi wa Anjouan
- 2008 mzozo wa mpakani wa Djibouti na Eritrea
- 2009 Mashambulizi ya Israel ya mabomu nchini ya Sudan