Majadiliano:Pinocchio (filamu ya 1940)
Latest comment: miaka 13 iliyopita by Kipala
Napendelea kuhamisha makala kwenda "Pinocchio (filamu ya 1940)" kwa sababu kuna karaosi katika hadithi, hadithi yake, vitabu vingi na filamu mbalimbali pamoja na tamthiliya. Mnaonaje? Kipala (majadiliano) 14:20, 9 Aprili 2011 (UTC)