Majadiliano:PlayStation 2
Latest comment: miaka 16 iliyopita by Muddyb Blast Producer
Tarehe 31-12-2007 ni siku ya pili kupatwa na tatizo la template. Mara ya kwanza ilikuwa 07-12-07 wakati naunda makala ya Pras, nilipata tatizo kama hili. Leo tar. hiyo iliotajwa hapo juu, tatizo limejitokeza kama lile. Kwakweli sifahamu kwanini huwa hivyo. Template hazifanyi kazi (zote kwa muda ulipo).--Mwanaharakati 17:06, 31 Desemba 2007 (UTC)