PlayStation 2

PlayStation 2 (hufupishwa kwa kuiita "PS2") ni toleo la pili la mashine ya michezo ya video kutoka kampuni ya Sony. Mashine hiyo huwa wanazitoa kwa awamu, lipo toleo la kwanza na hili la pili na la tatu pia.

PlayStation 2
PlayStation 2 katika rangi yake halisi
MwundajiSony Computer Entertainment
AinaMchezo wa video

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Tovuti rasmi za Play Station
Tovuti zisizo rasmi za Play Station
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu PlayStation 2 kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.