Majadiliano:Radi (elementi)
Latest comment: miaka 15 iliyopita by Kipala
Kiungo kutoka nishati kinaelekeza hapa. Lazima kutengeneza ukurasa wa kutofautishia maana mbili za neno 'radi'.
- Ni kweli, asante. Radi ya ngurumo ni matumizi ya kawaida kwa hiyo nitabadilisha makala hii kuwa radi (elementi).--Kipala (majadiliano) 17:48, 11 Aprili 2009 (UTC)