Majadiliano:Reli ya abiria ya Dar es Salaam

Latest comment: miaka 2 iliyopita by Kipala in topic Tafsiri mbaya ya kompyuta

Tafsiri mbaya ya kompyuta hariri

Hakuna lengo kupunguza safari ndani ya Dar es Salaam bali kurahisisha usafiri! Na mengine yanayopatikana ukitumia google translate bila kuwasha bongo. Je, jina la Mwakyembe kweli linatumiwa?? "Mtandao" uko wapi kama ni matumizi ya njia mbili za reli pekee zenye treni chache ? Kipala (majadiliano) 13:27, 16 Agosti 2021 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Reli ya abiria ya Dar es Salaam ".