Majadiliano:Rose Ndauka

Latest comment: miaka 3 iliyopita by Kipala

Makala ilivyo imeandikwa kama hadithi, na siyo kama makala ya kamusi elezo. Irekebishwe. --Baba Tabita (majadiliano) 15:23, 16 Mei 2013 (UTC)Reply

Eh, namuonaga huyo mdada kwenye filamu za Tanzania. Nimeisoma, hakika ipo katika mtindo wa hadithi! Ngoja nijaribu bahati yangu kwanza.--MwanaharakatiLonga 09:27, 17 Mei 2013 (UTC) Reply

Makala haina vyanzo. Anatajwa kama mkurugenzi wa kampuni ya radiator, lakini tovuti yao haionyeshi jina lake. Bila vyanzo - makala isibaki. Kipala (majadiliano) 08:24, 23 Julai 2020 (UTC) Reply

Return to "Rose Ndauka" page.