Majadiliano:Shaykh 'Abdullaah Swaalih Al-Farsy

Latest comment: miaka 8 iliyopita by Muddyb Blast Producer in topic Kopi-paste

bin adam...nafahamu ni kutokana na nabii adam suala Nini maana ya adam

Kopi-paste

hariri

Makala hii inajitambulisha kuwa kopi-paste kutoka gazeti hali ambayo ni marufuku kwenye wikipedia. Bila shaka huyu mzee anastahili makala lakini jinsi ilivyo heri ifutwe. Kipala (majadiliano) 10:48, 28 Aprili 2016 (UTC)Reply

Imeboreshwa!   Imefanyika.--MwanaharakatiLonga 10:53, 15 Juni 2016 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Shaykh 'Abdullaah Swaalih Al-Farsy ".