Majadiliano:Silabi

Latest comment: miaka 11 iliyopita by Muddyb Blast Producer in topic Makala ya Silabi mwambatano iunganishwe

Makala ya Silabi mwambatano iunganishwe hariri

Istilahi ya "silabi mwambatano" haieleweki; tena maelezo yake ni ya silabi tu. --Baba Tabita (majadiliano) 14:35, 1 Machi 2013 (UTC)Reply

Dokta Oliver, huo ni uga wako bwana! Amua kadiri ipasavyo na sisi tunaunga mkono!--MwanaharakatiLonga 15:22, 1 Machi 2013 (UTC)Reply
Return to "Silabi" page.