Silabi mwambatano

silabi ni kipashio cha utamkaji na mfonimu.

silabi ni fungu la sauti/fonimu kinachotamkika kwa pamoja na kwa mara moja. mfano katika neno kaka ni mafungu mawili; ka na ka