Majadiliano:TAYA LA MAMBA

Latest comment: miaka 9 iliyopita by Muddyb Blast Producer in topic Lugha, unganisha na mamba

Lugha, unganisha na mamba

hariri

Makala hii fupi imetungwa na mgeni. Lugha ina kasoro haieleweki kila mahali ("tatu zaidi ya samba au samba marara"??). "Taya" kwa kawaida ni mfupa wa mdomo, wakati mwingine pia pia pamoja na meno na ngozi n.k. zilizounganisha na mfupa huu. Makala inajadili kwa urefu neva ya mdomoni ambazo si swali la taya. Pia haina vyanzo kwa kuthebitisha maelezo yake. Ilhali habari za kimsingi juu ya kichwa "taya" hazipo, afadhali kupeleka habari za maana katika makala "mamba". -- Makala haina viungo wala jamii. Kipala (majadiliano) 04:28, 16 Juni 2015 (UTC)Reply

Hahahaha.. Anazungumzia taya la "mamba" jinsi linavyong'ata. Si makala ya msingi hata kidogo. Ila tu, ninaunga mkono hoja ya kutunga makala ya taya badala ya hii!--MwanaharakatiLonga 05:24, 16 Juni 2015 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " TAYA LA MAMBA ".