Majadiliano:Tanzania Tech

Latest comment: miaka 2 iliyopita by Kipala

Nina mashaka kuhusu mada. Kwanza lemma "Tanzania Tech" ni tofauti na link inayofunguliwa "Tech Platform". Halafu naona dalili kwamba makala ni jaribio la mhariri kujitangaza (linganisha mtumiaji:Tech Platform ). Sioni dalili ya umaarufu (link ya pekee inayodai tovuti ilijadiliwa imekufa, na inaleta IP ya mwenyewe). Halafu links zinaelekea tovuti mbili tofauti: https://www.tanzaniatech.one/ na https://techplatform6.blogspot.com/. Ile ya pili inajaa nafasi ya kubofya "play" na "download" bila kuonyesha inahusu nini. Hii ni hazari. Kipala (majadiliano) 22:05, 11 Januari 2022 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Tanzania Tech ".