Majadiliano:Udhibiti wa uzazi
Latest comment: miaka 11 iliyopita by Kipala
Naona mwandishi wa makala hii hajatambua ilikuwepo ile ya Uzazi wa mpango. Pia mtazamo ni wa upande mmoja, wa kushabikia mbinu za kiteknolojia, ingawa zina madhara mengi kwa watumiaji na mara nyingi kwa mimba zinazouawa. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:20, 29 Novemba 2013 (UTC)
Riccardo unasema kweli tazama majadiliano hapa: https://sw.wikipedia.org/wiki/Majadiliano_ya_mtumiaji:Jmh649 Kipala (majadiliano) 20:05, 29 Novemba 2013 (UTC)