Majadiliano:Uislamu nchi kwa nchi
Latest comment: miaka 9 iliyopita by Riccardo Riccioni
Naunga makala kwenda: Uislamu kwa nchi... Mengi humu hayako sawa ukilinganisha na makala hiyo. Nitasubiri maoni ya wengine ili tuone nini tunafanya! Wenu..--MwanaharakatiLonga 15:37, 14 Aprili 2015 (UTC)
- Makala zote mbili zinapaswa kuunganishwa. Matini katika makala "Uislamu kwa nchi" ina habari na maelezo zaidi kuliko hapa. Hapa fupi sana. Menginevyo lemma hapa ni afadhali. Sijalinganisha jedwali - nahisi ni namba zilezile. Umbo la jedwali hapa haupendezi. Sasa sielewi ni nini isiyo sawa? Sijui ingekuwa njia ya kuhamisha "Uislamu kwa nchi" kuja hapa? Kipala (majadiliano) 19:43, 15 Aprili 2015 (UTC)
- Humu unahitaji template nyingi kuliko kule.. Humu sehemu kubwa Kiingereza, wakati kule sehemu kubwa Kiswahili. Hilo tu!--MwanaharakatiLonga 08:19, 16 Aprili 2015 (UTC)
- Sijaelewa vizuri makala nyingine ni ipi. Au imeshahamishwa kwa kuziunganisha? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:23, 17 Aprili 2015 (UTC)