Majadiliano:Ukomeshaji wa Biashara ya Watumwa

Latest comment: miaka 14 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Jina la makala na kichwa chake vinapishana! Kifupi, hukuelezea katika hatua ya awali ya makala. Mfano: Ukomeshaji wa Biashara ya Watumwa ni kampeni dhidi ya ukomeshaji wa utumwa -liongozwa na watu wa magharibi katika kukataza biashara hiyo. Halafu kadha-wa-kadha-wa-kadha. Si ni rahisi kurudia au kuandika upya kichwa cha makala? Basi anza upya - angalau tuweke maksi za juu! Hongera.--MwanaharakatiLonga 17:17, 31 Desemba 2009 (UTC) Reply

Return to "Ukomeshaji wa Biashara ya Watumwa" page.