Majadiliano:Usanii

Latest comment: miaka 16 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Wakubwa, napendekeza kusahihishwa kwa makala hii kisha uhamishwe kupelekwa katika makala ya "SANAA". Ama mnaona vipi wakubwa zangu?--Mwanaharakati (Longa) 10:26, 1 Desemba 2008 (UTC)Reply

Salam nyingi Nd. Chikawe! Nimeona umeandika makala hii nzuri huku ukiwa umemalizia na jina lako mwishoni mwa makala hii Hiyo sio kanuni ya makala za Wikipedia! Nimeibadilisha na kuiweka katika viwango vya wiki, hivyo unaombwa usijisikie vibaya kwa tendo hilo Kwani hizi ndiyo taratibu za kamusi elezo zote za wiki ulimwenguni. Unaombwa uendelee kuchangia zaidi habari za usanii endapo utajisikia kufanya hivyo au kama utakuwa na muda! Basi karibu sana katika wikipedia, na kila la kheri--Mwanaharakati (Longa) 06:30, 6 Desemba 2008 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Usanii ".