Majadiliano:Usindikaji wa samaki

Latest comment: miaka 5 iliyopita by ChriKo in topic Maana ya usindikaji

Maana ya usindikaji hariri

Nikisoma makala hii napata hisia kama ni kuhusu kukausha kwa samaki. Ninafahamu usindikaji kumaanisha "extraction" au "processing". Viungo mpaka lugha nyingine vinadokeza pia maana ya "drying". Kwa hivyo ningependekeza ukaushaji wa samaki. ChriKo (majadiliano) 21:39, 6 Septemba 2018 (UTC)Reply

Naona alimaanisha "usindikaji" kwa maana ya "food processing". Mfano kukausha, kuuweka katika chumvi, katika moshi, au kufunga katika kopo. Interwiki imekosea kwenda "drying". Ila tu sioni sababu ya kuwa na makala ya pekee kwa usindikaji wa samaki. Kazi si tofauti na vyakula vingine hasa nyama. Kwa sasa napendekeza kupeleka maudhui kwenda samaki na zaidi usindikaji. Kipala (majadiliano) 07:01, 7 Septemba 2018 (UTC)Reply
Ok, sawasawa. ChriKo (majadiliano) 07:15, 7 Septemba 2018 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Usindikaji wa samaki ".