Majadiliano:Virusi vya Polio

Latest comment: miaka 14 iliyopita by Muddyb Blast Producer in topic Maswali kadhaa

Maswali kadhaa

hariri
  1. "Pikonaviridi": Neno hili ni kweli au kosa? Maana ya jina la kilatini / Kiingereza ni PICO (dogo) - RNA - virusi. Kwa hiyo iwe pico-rna-virusi au rna virusi ndogo ?
  2. Halafu: Tumejadiliana hapa wp tayari "virusi". Maadamu hakuna "kirusi" (isipokuwa lugha..) siyo "virusi ya" na "virusi za" ni afadhali? Kipala (majadiliano) 19:39, 21 Septemba 2010 (UTC)Reply
Ngoja kwanza. Hii ni "virusi vya polio". Lakini nilivyo-tazama makala ya Kiingereza inasema: Poliovirus na Wikipedia karibuni 7 zinatumia jina la Kiingereza au jina la umbo kamili. Kulingana na jina la Kiingereza, basi inatakiwa iwe "kirusi cha polio" ikiwa tunataka Kuswahilisha. Unaonaje?--MwanaharakatiLonga 13:09, 13 Novemba 2010 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Virusi vya Polio ".