Majadiliano:Viza

Latest comment: miaka 6 iliyopita by Kipala

Vilevile yai liloharibika. Hehehehehe tunaita "yai viza". Lugha bwana!--MwanaharakatiLonga 17:03, 4 Aprili 2018 (UTC) Reply

Sawa, ushibe tu yai viza. Ila tu heri usitafune viza peke yake. Hivyo ndivyo lugha jinsi ilivyo. Kipala (majadiliano) 18:24, 4 Aprili 2018 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Viza ".