Majadiliano:Vurugu vya kina (Vitisho)
Latest comment: miezi 2 iliyopita by Waiterminute in topic AI?
AI?
haririNimesoma halafu sijaelewa. Iboreshwe kidogo ili angalau binadamu akisoma asipate tabu kuelewa japo mstari wa kwanza. MuddybLonga 03:54, 5 Oktoba 2024 (UTC)
- Nimeona ni heri kufanya utafiti kwa muda fulani kwanza kisha nianzie upya, asante kwa maoni. Waiterminute (majadiliano) 13:37, 7 Oktoba 2024 (UTC)