Majadiliano:Wamarangu
Latest comment: miaka 13 iliyopita by Muddyb Blast Producer
Wamarangu ni mada muhimu lakini sentensi hizi a) hazina habari yoyote kuhusu Wamarangu na b) hazilingan na wikipedia:NPOV. Isipobadilishwa kabisa ifutwe. Kipala (majadiliano) 18:25, 15 Julai 2011 (UTC)
- Tena balaa lake si dogo. Anataja hawa na kabila lingine. Dah! Jamaa ana hatari kwelikweli. Eh, nimependa sana NPOV... Halafu labda iwe "Mtazamo wa kutopendelea upande wowote". Kulingana na NEUTRAL. Ah, hata hivyo, ni wazo ambalo si la msingi saaana! Tuendelee na huyu bwana.--MwanaharakatiLonga 03:46, 16 Julai 2011 (UTC)