Majadiliano:Wamasai

Latest comment: miaka 15 iliyopita by Kipala in topic Viungo, lugha

Viungo, lugha

hariri

Makala hii ina viungo vingi ambavyo haviwezi kufanya kazi, linganisha Wikipedia:Makosa, hasa na. 8. Pia lugha inaonyesha mabaki ya translate.google inahitaji kuswahilisha kiasi.

Kwa jumla makala hii ni kazi kubwa kutokana na urefu wake; pongezi wa mfasiri lakini kazi bado iko. --Kipala (majadiliano) 18:52, 12 Desemba 2009 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Wamasai ".