Majadiliano:Wasegeju
Latest comment: miaka 9 iliyopita by Kipala in topic Asili ??
Asili ??
haririIlhali Kisegeju ni lugha ya Kibantu hakuna sababu ya kuamini ya kwamba kabila hii imetoka Pembe la Afrika yaani sehemu za Somalia au Ethiopia. Kwa nini wachangiaji walitaja hapa uvumi huo? Naomba tuzoee ktafuta vyanzo vya kuaminika kwa habari hapa. Kama kuna watuwanaosema vile basi ni vema ni akina nani au wapi na lini maneno haya yalisikiwa. Ni sawa kutaja uvumi kama inaeleweka ni uvumi. Kipala (majadiliano) 18:21, 22 Agosti 2015 (UTC)