Majadiliano:Wikipedia ya Kiswahili

{{Infobox Person |jina = Wikipedia ya kiswaahili |picha = |maelezo_ya_picha = |tarehe_ya_kuzaliwa = |mahala_pa_kuzaliwa = |tarehe_ya_kufariki = |mahala_alipofia = |majina_mengine = |anafahamika kwa = Wikipedia ya Kiswahili |kazi_yake = ni kazi ya sanaa inayotumia lugha ili kufikisha ujumbe fulani kwa [[hadhira husika |nchi = }} JINA Faili:PICHA MAELEZO Amezaliwa 00.00.9999 ABC Amekufa 22.33.8888 MAHALI Nchi TAKATUKALAND Majina mengine ABC DEF Kazi yake POA

Faili:Fasihi

FASIHI ni kazi ya sanaa inayotumia lugha ili kufikisha ujumbe fulani kwa [[hadhira husika AINA ZA FASIHI: fahisi simulizi na fasihi andishi. fasihi simulizi:ni aina ya fasihi inayotumia masimulizi ya mdomo katika uwasilishaji wake. fasihi andishi:ni aina ya fasihi inayotumia maandishi katika uwashilishaji wake. Hadhira:ni watazamaji wapokezi wa kazi ya fasihi. SIFA ZA FASIHI SIMULIZI:ni mali ya jamii nzima ,huhifaziwa kwa njia vinasa sauti,ni kongwe , hadhira yake ni kubwa; inatumiwa na watu wa aina zote wanaojua kusoma na kuandika.. SIFA ZA FASIHI ANDISHI:ni mali ya mwandishi,si kongwe,huhifadhiwa kwa njia ya maandishi hadhira yake ni ndogo; inahusisha watu wanaojua kusoma na kuandika..

TEMBO WA AFRICA hariri

                   TEMBO WA AFRICA
           Tembo wa jenasi ya ‘Loxodonta’, kwa ujumla hujulikana kama tembo wa Afrika. Kwa sasa wanapatikana katika nchi 37. Tembo wa Afrika hutofautishwa na tembo wa Asia kwa namna mbali mbali. Kwanza masikio yao ni makubwa sana na mwili wao ni mkubwa wenye mgongo uliopinda. Wote, dume na jike wa tembo wa Afrika huwa na pembe za ndovu/vipusa kwa nje na miili yao huwa na nywele kidogo kuliko tembo wa Asia.

Ndovu wa Afrika hugawanywa kwenye makundi mawili kulingana na spishi zao, ndovu-nyika (Loxodonta africana africana) na ndovu-misitu (Loxodonta cyclotis).

Tembo wa savanna wa Afrika, ndiyo tembo mkubwa kuliko wote. Ndiyo mnyama wa ardhini aliye mkubwa kuliko wote, huku tembo dume akiwa na urefu wa mita 3.2 mpaka 4 mabegani na uzito wa kg. 3,500 mpaka 12,000. Tembo jike huwa mdogo kiasi huku wengi wakiishia urefu wa mita 3 tu.

Wengi wa tembo wa savanna wa Afrika hupatikana katika nyika, mabwawani, na kwenye fukwe za ziwa. Hukaa sana kwenye kanda za savanna kusini mwa jangwa la Sahara.

Spishi nyingine ya ndovu wa Afrika ni ndovu-misitu (Loxodonta cyclotis), ambao ni wadogo na wa mviringo kiasi, pembe zao zikiwa fupi kiasi na zilizonyooka kuliko tembo wa savanna. Tembo wa misituni hufikia mpaka uzito wa kg. 4500 na husikia urefu wa mita 3. Mambo mengi hayafahamiki kuhusu tembo hawa ukivilinganisha na tembo wa savanna, kutokana na mazingira wanamoishi. Mara nyingi huishi katika misitu ya Afrika, ile mizito nay a mvua, ya kati na magharibi mwa Afrika. Japo mara chache husogea mipakanai mwa misitu yao, na kuzaliana na tembo wa savanna.

Return to "Wikipedia ya Kiswahili" page.