Majadiliano:Zana

Latest comment: miaka 15 iliyopita by Kipala

Kuna jamii:Vifaa. Ni vema kuangalia kama kuna makala tayari zinazofaa kuungwa humo kwa njia ya viungo vya ndani.

Kweli. Sijajua awali kama kuna jamii ile. Mambo ni yaleyale tu, vifaa na zana wao wako baba mmoja-mama mmoja! Ahsante. Pia umeona kwamba nimejaribu kukusanya zana zote kwenye kigezo "aina ya zana", lakini nagonga mwamba baada ya kugundua kwamba zana nyingi zimeandikwa zile za Kizungu - huku kwetu Uswahilini imebaki hadithi. Kwa mtazamo huu, ungependa kuendelea kutafsiri japo kwa majina ya viungo vyekundu, halafu nijaribu kutafsiri huku nikijaribu kumshawishi dada huyu aendelee kutafsiri na viungo vingine? Ni hayo tu, mzee wangu.--Muddyb MwanaharakatiLonga 07:46, 10 Desemba 2009 (UTC)Reply
Hii zawadi gani ya Krismasi?? Basi nitaona (kidogo) --Kipala (majadiliano) 07:54, 10 Desemba 2009 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Zana ".