Majadiliano ya Wikipedia:Bureaucrats

Latest comment: miaka 13 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Mbona Matt Crypto hayuko tena? Kipala (majadiliano) 16:35, 6 Oktoba 2010 (UTC)Reply

Mzee wangu, utaratibu si ni uleule? Yaani, panapoonekana kuna tatizo, basi mwingine anarekebisha!--MwanaharakatiLonga 17:23, 6 Oktoba 2010 (UTC)Reply
Nilipoandika sikutambua ni makala ya kale maana niligonga ile makala mpya bila kutambua ilikuwa kielekezi tu. Kipala (majadiliano) 17:42, 6 Oktoba 2010 (UTC)Reply
Huku Dar kuna msemo wa msimu mmoja utasikia: "UMEONA EEH"! Basi hivyo ndivyo hali ilivyo!--MwanaharakatiLonga 17:49, 6 Oktoba 2010 (UTC)Reply
Return to the project page "Bureaucrats".