Majadiliano ya Wikipedia:Jamii

(Elekezwa kutoka Majadiliano ya Wikipedia:T173070Jamii)
Latest comment: miaka 3 iliyopita by Richard Mboya in topic Umuhimu wa kuutumia muda
Natafuta makala ya "Communist Manifesto" kwenye lugha ya Kiswahili.

Makala 2000 hariri

Jamani tupeane hongera kwa kufikia makala 2000. Safari hii pongezi itakuwa hasa kwa Oliver aliyechapa kazi kwelikweli. Idadi kubwa katika wiki hizi mbili tu ni mkasi wa ajabu kabisa!!

Haitakuwa rahisi kuendelea hivyo kwa sababu makala mengi yalikuwa makala za miaka na tarehe zilizoandaliwa kama fomu tu. Inabaki kazi nyingi kuzijaza kazi hii haitasukuma takwimu. Hata hivyo nimefurahi sana! --Kipala 16:19, 14 Septemba 2006 (UTC)Reply

sahihisho kuunganisha hariri

inatoka Majadiliano_ya_Wikipedia:T173070Jamii: "How to download apps" --Simeone Deo 04:43, 3 Januari 2018 (UTC)Reply

Umuhimu wa kuutumia muda hariri

Kwanini tunahitaji kuuthamini Muda? Mengi yamesemwa na bado mengine yanaendelea kuzungumzwa juu ya kitu kinachoitwa Muda. Najua sio jambo geni wala si mara yako ya kwanza kusikia pia , ninachotaka tujifunze pamoja hapa ni kuona kwa jinsi gani muda ni wa msingi kuweza ku control ratiba ya mtu katika kufanya kitu au jambo lolote lile akiwa na madhumuni ya kulikamilisha, elewa wazi sekunde moja ambayo unaweza ukaithamini inaweza ikaleta matokeo mazuri hasa pale utakapo gundua thamani yake. Ndio maana baadhi ya watu fulani hata siwezi kuwataja wamekuwa ni watu wa kuheshimu sana muda jambo linalopelekea wao kufanikiwa na kuwa watu wa juu siku zote, Kuna msemo moja mahali fulani una zungumza kuwa aliye mwaminifu katika vidogo huwa pia mwaminifu katika vilivyo vikubwa lakini vile vile asiye mwaminifu katika vilivyo vidogo katu hawezi kuwa mwaminifu katika vilivyo vikubwa.Jitafakari badilika alafu chukua hatua,usiwe mwepesi wa kuupoteza muda wala kuchezea ukitaka kufanikiwa. Richard Mboya (majadiliano) 09:57, 6 Septemba 2020 (UTC)Reply

TATIZO LA UMASKINI hariri

Umaskini ni hali ya kukosa mambo muhimu katika maisha ya mwanadamu kama vile chakula, mavazi na maladhi. Umaskini umeganawinyika katika makundi makuu mawili. Kundi la kwanza la umaskini ni ule wa mtu mmoja moja pia umaskini wa taifa yaani nchi zinazoendelea mfano. Tanzania, uganda na zinginezo nyingi. kuna mambo yanayosabisha nchi au mtu moja moja kupata umaskini yako mambo mengi baadhi yake ni kuwepo kwa kiwago kidogo cha sayansi na technogia katika nchi. hili suala linakumba nchi nyingi za afrika kuwepo kwa technology ya chini kaitika nyanja mbalimbi kama vile kilimo, uvuvi, ufugaji, viwandan na nk. Uvivu. pia huchangia mtu au taifa kuwepo kwa vijana wavivu hudhorotesha uchumi wa nchi na mtu moja moja. Pia tatizo la umaskini kuwepo idadi kubwa ya wasijua kusoma na kuandika. Pia kuchangia sana kudholotesha uchumi kwa sababu hata weza kufanya kazi inayotumia akili hivyo uchumi hushuka pia kuwepo kwa miundombinu mibaya huchagiza uchumi kushuka hivyo selikali pamoja na mashilhka ya watu binafsi kuuga mkono

Nangero hariri

Nangero Ni kijiji kilichopo katika kata ya mgombasi wilayani namtumbo, mkoani Ruvuma.

Return to the project page "Jamii".