Salaam, makala ya Kijiji kile cha Lindi, ni nzuri sana. Tungependa kuona una-changia kwa kutumia jina lako ili tuweze kutoa msaada wa kiufundi na maarifa kadha wa kadha kuhusu Wikipedia. Karibu sana!!--MwanaharakatiLonga 11:59, 13 Machi 2012 (UTC) Reply


Huu ni ukurasa wa majadiliano kwa mtumiaji asiyejulikana ambaye bado hajafungua akaunti, au ambaye haitumii. 

Kwa hivyo inatubidi kutumia anwani ya IP ya nambari ili kuwatambua. Anwani kama hiyo ya IP inaweza kushirikiwa na watumiaji kadhaa. Ikiwa wewe ni mtumiaji asiyejulikana na unahisi kuwa maoni yasiyo na maana yameelekezwa kwako, tafadhali fungua akaunti au ingia ili kuepuka kuchanganyikiwa kwa watumiaji katika siku za usoni na wengine wasiojulikana.