Bwana, salaam! Naona tangu Januari umejitahidi kuchangia hapa. Kwa bahati mbaya hujajiandikisha kwa hiyo si rahisi kuwasiliana nawe.

  • Naoma ujiandikishe ufungue akaunti yako!
  • nina sababu za kurudisha mabadiliko mbalimbali uliyoleta lakini sitaki kukukatisha tamaa kwa hiyo napendelea kuongea nawe kwanza!
  • Tumeandaa misaada mbalimbali kwa wachangiaji wapya je mshaona? Kama vile Msaada wa kuanzisha makala na Mwongozo wa kuandika makala.
  • Kwa sasa nasema tu: Karibu!Mengine ukijiandikisha! Kipala (majadiliano) 18:43, 3 Aprili 2011 (UTC)

Huu ni ukurasa wa majadiliano wa mtumiaji ambaye hana jina na bado hajaumba akaunti bado, au hajawahi kutumia kabisa.

Kwa hiyo tunatumia namba za anwani ya IP yake kumtambulisha. Anwani ya IP kama hiyo inaweza kutumika na watumiaji kadhaa. Labda itakusumbua kwamba kuna maoni mengine yanawekwa hapa na unaamini kwamba haya maoni hayakulengi. Ikiwa hivyo, tafadhali fungua akaunti au ingia ili kuepuka kuchanganywa na watumiaji wengine ambao hawana jina.