Salam nyingi sana zikufikie Nd. Mpendwa! Nimeona umekuja kwa kasi ya ajabu katika michango yako juu ya makala za muziki! Labda tu ningekushauri ujiandikishe, yaani uwe na akaunti yako katika Wikipedia hii. Ukifanya hivyo utakuwa umerahisisha kazi ya kuelezana katika namna ya uumbaji wa makala! Sasa basi, unaombwa ujisajili kwa kukong'oli hapa. Kabla hatujaanza kupitia makala zingine ambazo tayari ushazianza! Karibu sana.--Mwanaharakati (Longa) 06:46, 14 Novemba 2008 (UTC)Reply


Huu ni ukurasa wa majadiliano kwa mtumiaji asiyejulikana ambaye bado hajafungua akaunti, au ambaye haitumii. 

Kwa hivyo inatubidi kutumia anwani ya IP ya nambari ili kuwatambua. Anwani kama hiyo ya IP inaweza kushirikiwa na watumiaji kadhaa. Ikiwa wewe ni mtumiaji asiyejulikana na unahisi kuwa maoni yasiyo na maana yameelekezwa kwako, tafadhali fungua akaunti au ingia ili kuepuka kuchanganyikiwa kwa watumiaji katika siku za usoni na wengine wasiojulikana.