Abdul Millanzi
Imejiunga 17 Mei 2013
Latest comment: miaka 11 iliyopita by Muddyb Blast Producer in topic Mangaka
Abdul, salaam. Kwanza kabisa napenda kukukaribisha katika Wikipedia ya Kiswahili. Ni furaha yetu kuona tunapata wachangiaji wapya kila siku. Hongera na makala yako ya kwanza. Nimeirekebisha na kuipa viwango vya Kiwikipedia. Tafadhali uliza swali lolote unalotaka kujua. Wako Muddyb, au,--MwanaharakatiLonga 12:17, 17 Mei 2013 (UTC)